Showing posts with label Sheng. Show all posts
Showing posts with label Sheng. Show all posts

Tuesday, March 20, 2007

Blogger wa Ushago na Nyege za Kamuti

Nimekubali kuchukua ile challenge ya Msee moja anaji-label Augeusi ya kuchora ninii ya sheng. Kwanza nilipoa kwa keja yangu huku Embu nikiwaza vile nita chora hii ninii. Kwanza nilifikiria eti nitawa con na kutumia google lakini google translater haina translator ya Sheng.
Kwa hivyo nimechora haka ka-risto niliskia juzi nikiwaka kwa maskan ile napoa nikitokea job.
Hii storo ilitokea wakati tulianza kudiscuss zile mambo za uchawi ile imetokea kwa machuo za ma-dame uko coasto na western na mori wengine kwa club. Mi husema hizo storo za uchawi na kamuti ni vako lakini wakati nilijaribu kuwashow hivyo niliambiwa eti uchawi ni real na nikicheza especially na kao wa Kitui nitakuta nimewekewa kamuti.

Hi risto ni ju ya ka manzi kengine ka primo. Hako ka manzi kalizua wazimu kwa chuo eti kuna ma-spirit ya chali mwingine, eti zinamdara kwa sehemu zake za siri na zilikuwa zina munyonya matiti. Yaani yuyo mshee alikuwa anapiga nduru akiscream jina ya chali na akijaribu kutoa nguo kwa daro na kulala kwa floor ya daro akiwa amepanua (katika position ya missionary!). Wakati niliuliza kwa nini alikuwa anamskia huyo charlie hivyo, niliambiwa walikuwa na ubeshte naye lakini maparo walizua noma na chali aka katazwa kumkatia hako ka dame. Wakati maparo wa ka manzi waliitwa chuo na mtichee badala ya kumpeleka kwa psychiatrist au kwa pastor eti walimpeleka kwa mchawi mwingine wa nguvu huko Kiambeere. Huyo mchawi aliwaambia eti ka dame kao kame wekewa kamuti na huyo charlie, na wakitaka kutoa hizo mademons ni lazima wa bambe huyo chali na wamfinye mpaka atoe hizo kamuti.
Kile kilinishtuwa ni eti wasee wa kijiji walibamba huyo chali na wakanza kumtoture ili atoe zile kamuti, ilibidi chali apige mbiyo na kujificha kwa makarao ili wa mprotect. Mpaka sasa huyo jamaa hawezi kurudi hii mtaa.


Kweli bado huku ocha nilazima ujichunge wakati una katia ma damu kwa sababu kaki kunoki hautaweza kujitoa hapo na ukijaribu kumhepa au akikatazwa na buda utashtuka kuambiwa eti kamezua noma za kamuti.
Kwa maoni yangu hako manzi hakua na problem yeyote ya kamuti ama kurogwa, kile kilikuwa kinamsumbua ni Nyege nyingi pekee. Ama ni aje?

Kenyan Blogs